Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2025

KWEPA FITINA KWA UPENDO

Picha
                       KWEPA FITINA KWA UPENDO Bwana asifiwe karibu tujifunze tena asubuhi ya Leo.. Biblia Inaweka wazi jinsi ya kukimbia fitia au kuikwepa miongoni mwa watu... Haebu soma hapa 👇 Mithali 10:12 [12]Kuchukiana huondokesha fitina;  Bali kupendana husitiri makosa yote.  Kumbe kama chuki Inasababisha kuwe na FITINA basi njia sahihi Kwa hapa ni Kutokuwa na chuki kati au baina ya watu... Kukiwa na chuki miongoni mwa rafiki, kikundi au watu basi haya yaweza kutokea... 👉Kila mtu atatamani kumchafua mwenzake ili afunge kibali chake  👉Kila mtu hatamuona mwingine kama msaada bali adui  👉Kila mtu atamtazama mwenzake kama chanzo cha huzuni yake 👉Moyo wa mtu na mtu wanaochukiana huwa hauwezi kukaa pamoja 👉Hakuna mtu atakuwa tayari kumsaidia mwenzake   👉Watu hawa wanaweza kushindwa kukosa fursa kwasababu mara zote fursa inayotengenezwa na Mungu huja kwa mtu kupitia watu Na mbaza nyingine ni kwamb...

UVUMILIVU UTAKUVUSHA TAABUNI

Picha
                 UVUMILIVU UTAKUVUSHA TAABUNI Bwana asifiwe karibu tujifunze tena hapa UVUMILIVU ni tunda la Roho ambalo ni lazima kila mtu wa Mungu alijue na awe nalo kwasababu linakufanya nafsi yako iwe na utulivu kwa Bwana hata kama unapitia taabu... Tambua kwamba taabu ni sehemu ya maisha ya kila mtu, yaani 👉Kuna wakati wa kukosa na wakati wa kupata 👉Pia Kuna wakati wa kuwa chini, 👉wakati wa kudharauliwa, 👉 wakati wa kutenga, 👉wakati wa kukosa kazi n. K Yaani hayo hayakwepeki... Lakini cha msingi ni kujua kwamba hayo yote yana muda fulani wala si ya kudumu.. Taabu zina uwezo wa kumfanya mtu kurudi 👉Wengine hurudi nyuma kwenye wokovu kwasababu wametafuta kazi kwa muda bila kupata wakaona kana kwamba Mungu wao hawaoni 👉Wengine huacha wokovu kwasababu tu ya magonjwa 👉Wengine hurudi nyuma kwa kukosa Mume au mke kwa muda mrefu 👉Wengine hurudi nyuma kwasababu ya njaa tu... Lakini mambo hayo hayapaswi kabisa kututenga na ...

MAFANIKIO SIYO AJALI NI MATOKEO

Picha
    MAFANIKIO  SIYO AJALI NI MATOKEO Bwana asifiwe karibu tujifunze tena hapa asubuhi njema... Tunaishi kwenye maisha ambayo ya a watu wawili katika viwango vya kimaisha yaani maskini na tajiri na mara zote kila mtu hutamani kuwa tajiri kwenye maisha yake ili aweze kujimudu na kuendesha maisha yake vizuri... Lakini je unajua kuwa utajiri na umaskini siyo ajali??? Hali hizi mbili ni matokeo ya utendanji kazi, kufikiri na imani ya mtu mwenyewe.. Umaskini huanzia katika akili, kisha imani na mwisho kuongoza utendaji kazi wa mtu na hata umaskini kujidhihirisha kwa mtu... Katika kutenda kazi hapa Kuna uvivu na uhodari, Biblia inasema hivi 👇  Mithali 10:4 Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.  [4] Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini;  Ukiwa unafanya kazi kivivu na Huku unatarajia ustawi basi tambua unaidanganya nafsi yako  Mafanikio ya kiuchumi hayahitaji maombi bila kufanya KAZI kwa bidii, ukikaa ndani, ukafunga na kuomba kwa bidii haina ma...

ATAKULETA HUKUMUNI

Picha
                                                               ATAKULETA HUKUMUNI Bwana asifiwe wana wa Mungu, njoo tujifunze tena Ni dhahiri katika maisha haya watu wa rika zote hususani vijana na watu wazima, wana mambo yao na shughuli zao ambazo hupenda kuzifanya za kuwafurahisha mioyo yao hapa duniani Hebu tusome hapa👇 Mhubiri 11:9-10 [10]Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia.  [9]Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.  Hapo biblia inazungumza na watu wawili kwasababu kwa asilimia kubwa watu hawa ndio Taifa la sasa yaani vijana na watu wazima.. Sasa kijana ni mt...