USIMSAHAU MTOTO.
USIMSAHAU MTOTO. Bwana asifiwe watu wa Mungu... Leo naomba tutazame juu ya watoto na kile tunapaswa kuwafanyia ili wawe Salama.... Mithali 22:6 Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee. MTOTO ni mtu ambaye haijafika katika hatua ya kujisimamia, yaani bado anahitaji kufanyiwa kila kitu ili awe Salama... 👉MTOTO anahitaji kununuliwa nguo 👉kufuliwa.. 👉kuogeshwa 👉na kila kitu ambacho Mwanadamu anakihitaji isipokuwa yeye anatafanyiwa hayo yote. mtoto anahitaji hayo katika Masha yake, na hayo yote anatakiwa kupewa au kufanyiwa na mtu mzima asiye mtoto kama yeye.... lakini Kuna kitu Cha msingi Sana kwa watoto kinaitwa MALEZI.. MALEZI ndilo japo linalotengeneza njia ambayo mtoto anaifuata... kimsingi mtoto Hana uwezo wa kuchagua njia ya kupita, lakini mtu mzima lazima awepo ili kumwonyesha njia na kumsimamia mpaka pale atakapokuwa amekuwa na uwezo wa kujisimamia kwenye mambo Yake... Tunaposoma Biblia tunaona Mungu anaagiza Wana wa Isra