NA WEWE HUIPENDI HEKIMA ??
NA WEWE HUIPENDI HEKIMA ?? Bwana Yesu asifiwe njoo tujifunze kitu kizuri Leo kwa msaada wa Mungu NI HIVI 👉Hekima huwa ni jibu kwa maswali mengi Sana... 👉Hekima inaweza kumlinda mtu mwenye nayo... kama vile fedha ilivyo na nguvu ndivyo Hekima ilivyo na nguvu pia kwa Mwenye Hekima.. Muhubiri 7:12 Kwa maana hekima ni ulinzi, kama vile fedha ilivyo ulinzi; na ubora wa maarifa ni ya kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo. 👉Hekima inaweza KUMPA mtu njia ya Nini afanye pale anapokutana Na jambo linalotaka uamuzi 👉Hekima inaweza kumfanya mtu akawa salama kaka ataisikiliza 👉Hekima inaweza KUMPA mtu Mali nyingi katika Dunia hii... 👉Hekima inaweza kumfanya mtu akafatwa na watu ili awafundishe hekima 👉Hekima inaweza kufanya Mali za wengine zikakuhudumia .... watu kutoka pande nyingi watakuja na mali zao kwako na weweutajivunia Utajiri wa watu wa mataifa .... Soma habari za suleimani... malkia wa sheba alikuja na wengine wengi pamoja na mali zao ili kuiona na ...