Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2025

SHERIA YA MUNGU NI UZIMA SIYO UDIKTETA

SHERIA YA MUNGU NI UZIMA SIYO UDIKTETA Bwana asifiwe karibu tujifunze tena katika asubuhi ya Leo jumapili... Kuna watu wengi naamini huwa wanajiuliza au walishawahi kujiuliza maswali haya hapa👇👇 👉Kwanini Mungu ameweka sheria nyingi za kumuongoza mtu??  👉Mbona kama mtu hana uhuru wake mwenyewe??  👉Mbona Mungu anawaongoza watu kama dikteta kwa amri fulani fulani nyingi??  👉Mbona mambo ya Mungu yana taratibu nyingi sana za kuzitii ??? 👉 Mbona biblia imejaa makatazo mengi sana ya Mungu kwa mwanadamu??? Sasa nilazima ujue kwamba yote aliyoyasema Mungu kwa watu wake... Si tu kwasababu anataka umuheshimu kwa kuyatii lakini mambo hayo ni ufunguo wa mambo fulani katika roho   Kwa mfano Mungu aliposema USIZINI si kwamba amekutawal kidikteta  lakini anajua ukifanya uzinzi si tu kwamba unamkosea yeye bali Kuna madhara makubwa sana utayapata ambayo ni matokeo ya zinaa hata kama atakusamehe ukitubu... Ukitubu, Mungu anakusamehe dhambi lakini madhara ya dhambi hiyo utab...