Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2024

IJUE MAANA SAHIHI YA KUPENDA

Picha
     IJUE MAANA SAHIHI YA KUPENDA ... Bwana asifiwe... njoo tujifunze kitu kuhusu upendo hapa na jinsi ya kujua kama una upendo.... UPENDO ni jambo la kiroho, kimwili, kihisia na kimatendo lililopo kati ya watu..   MATENDO huambatana na Hali na MATENDO mbalimbali kama vile 👉kuhudumiana, 👉 kuthaminiana,  👉kutii, 👉kujali na  👉kuwa tayari kuwa pamoja katika mapito mbalimbali... UPENDO haupo mdomoni tu, yaani isiishie kusema una upendo Bali inatakiwa ufikie hatua ya kuuonyesha upendo... kwamfano... tunapokuwa tunasema tunampenda Mungu, haitakiwi kutamka tu Bali upendo wa Mungu ni kuzishika amri zake yaani kufanya sawasawa na maagizo ya Mungu.... ( MATENDO lazima yahusike ) Yohana 14:21 [21]Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake. unaona hapo kumbe kumpenda Mungu siyo lazima useme au umwambie Mungu, Bali kitendo Cha kushika Sheria zake na kutenda saw...